Patrick Kubuya – Yesu Ni Wimbo Wangu mp3 Audio Download
Download another hot new mp3 free audio song by Patrick Kubuya and this amazing song is titled “Yesu ni wimbo wangu”.
Listen and download below.
QUOTABLE LYRICS
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Niende wapi nimekutambua wewe
Nifuate nani kwako kuna utulivu
Niende wapi nimekutambua wewe
Nifuate nani kwako kuna utulivu